Analazimisha kunizalia

Jana nlipanda bajaj za kukodi kutoka msasani kuja kinondoni, nlipanda na mdada mmoja njian akampigia simu rafiki yake amtumie kipimo chake cha mimba kinachoonyesha mistari miwili ili amdanganye mwanaume wake kua ana mimba

Usikute ndo huyo mkuu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Manesi, walimu & wana kwaya wana utaratibu wa kuoana wenyewe kwa wenyewe ... Bila shaka wewe ni mmoja wao na kwa desturi zenu mlizojiwekea huyu ndiye chaguo lako na lake ... Hakuna mbadala hapo, kikubwa anza kuandaa mazingira ya kulea mwana na mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…