Anakula raha mbaya..

Mr Rocky upo baba? Moyes imekuaje tena? Naskia Arushaone ndio anaifundisha man u kwasasa, msaidizi wake Mndengereko
Nipo mkuu utafiti mzima aise
Pasaka ukala kimya kimya ukaona wageni tutakuwa wengi sana
Moyes bana tumemchoka yeye anabaki sehem ile ile tuu hasogei wala hafurukuti kutaka kujiondoa Arushaone amepeleka vitunguli tuone kama vitasaidia na Mndengereko anaenda eti kuwafundisha mazoezi ya kuogelea sasa sijui mpira na kuogelea wapi na wapi
 
Last edited by a moderator:

Pasaka hii nilikua mgeni wa mtu kaka. Ugeni hadi raha
 
Last edited by a moderator:
yanasaidia kukata kitambi mku si unaona wachezaji wamekuwa wazito wananenepeana hovyoo.
 
moyes kazingua tumempiga chini sasa hivi tumemweka giggs aongoze timu lakini maagizo yote anapata kutoka kwetu moyes alikuwa anajifanya hasikii maagizo yetu ndo maana timu ikamshiinda

Huoni kama mwisho wa man u ndio umefika kaka?
 
Mkuu salama mbona umepotea sana aise au hangover za tikiti maji ulizokula pasaka aise
mkuu nipo sana busy busy kidogo tu ila napatikana.labda useme nina hangover za swimming maana this pasaka it was crazy
 
mkuu nipo sana busy busy kidogo tu ila napatikana.labda useme nina hangover za swimming maana this pasaka it was crazy

Dah natamani sana swiming aise yaani nikipata nafasi hiyo ni balaa japo sasa nahitaji mwalimu bana wa kunifundisha
 

MORE YES (Moyes) is MORE NO and he is gone forever......!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…