dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,359
Mmmmh mbona hii senario inafanana na ya demu wangu mpya?
Point ya msing saanaKwann hamfungi ndoa?
Miaka 5 na kumzalisha bado unampima tabia tu sheikh?
Na kweli aiseeUnaweza ukakuta hata hakuna mjanja alomzidi. Uchumba gani wa muda mrefu hivyo, inafikia hatua unamchoka tu mtu. Alafu binti kama haoni dalili za ndoa ndio anaona anachoshwa tu.
Inshu ya ndoa tatizo ni dini tofauti hapa ndo pana utataUnaweza ukakuta hata hakuna mjanja alomzidi. Uchumba gani wa muda mrefu hivyo, inafikia hatua unamchoka tu mtu. Alafu binti kama haoni dalili za ndoa ndio anaona anachoshwa tu.
Huyo si saizi yakoSalaam wana MMU
Sijui niseme kanichoka
Sijui kaona mi baga sina hela
Sijui ananionaje huyu mwanamke
Mimi ni baba wa mtoto mmoja,na nimekua na huyu mzazi mwenzangu kwa almost 5 years
Mwenzangu kabahatika kupata ajira nzuri yenye salary nono
Tunaishi mbalimbali japo sio sana ,yani tupo mikoa jirani
Tangu Jana nampigia simu huyu mwanamke kumuuliza kama ameomba ruhusa kazini ili aje nimsindikize clinic anatatizo flani la uzazi hivyo anafanyia vipimo vya Mara kwa Mara
Badala ya kunijibu vizuri ananipayukia Mara tuma nauli Mara nisimsumbue mi nikapandisha jazba akaniambia basi siwezi kuja usije ukanipiga ,mi nikakata simu
Leo nampigia na kumsalimia na kumuuliza kuhusu route yake ya huku aje weekend hii tukae wote hadi j3 ili nimsindikize medical ananijibu hawezi kuja anakuja j3 asubuhi anaenda hospital akimaliza anaondoka
Hii ina maana hata kwangu hatakanyaga,huyu mwanamke najitahidi kumheshimu lakini naona kila siku analeta dharau
Nina muda sijasex nae nimemwita ili tupate kukaa faragha japo hizi siku 2 anaishia kunijibu anakuja j3 asubuhi na anarudi kwake ina maana suala la kuja kwangu weekend kalikacha ,hii ni haki jamanii tumezaa mtoto mmoja lakini anavyonifanyia sometimes ni utoto kila nikipiga simu hazipiti siku 2 lazima tukwaruzane
Je kitendo cha kuja na kuondoka pasipo kupitia ninapoishi mzazi mwenzake ni haki jamanii?? nafadhaika sana moyoni.
Kwahiyo mna mpango gani? Hadi mnamimbana hamkujua nyie dini tofauti?Inshu ya ndoa tatizo ni dini tofauti hapa ndo pana utata
Ni kabila gani, kama ni mnyaturu au mnyiramba andika maumivu, huwa ni wababe sana, hawataki kuwa chini ya mwanaume. Wanataka wao ndiyo wawe kila kitu, wanadharau, kiburi, jeuri, kisirani na malaya pia[emoji4][emoji4]Salaam wana MMU
Sijui niseme kanichoka
Sijui kaona mi baga sina hela
Sijui ananionaje huyu mwanamke
Mimi ni baba wa mtoto mmoja,na nimekua na huyu mzazi mwenzangu kwa almost 5 years
Mwenzangu kabahatika kupata ajira nzuri yenye salary nono
Tunaishi mbalimbali japo sio sana ,yani tupo mikoa jirani
Tangu Jana nampigia simu huyu mwanamke kumuuliza kama ameomba ruhusa kazini ili aje nimsindikize clinic anatatizo flani la uzazi hivyo anafanyia vipimo vya Mara kwa Mara
Badala ya kunijibu vizuri ananipayukia Mara tuma nauli Mara nisimsumbue mi nikapandisha jazba akaniambia basi siwezi kuja usije ukanipiga ,mi nikakata simu
Leo nampigia na kumsalimia na kumuuliza kuhusu route yake ya huku aje weekend hii tukae wote hadi j3 ili nimsindikize medical ananijibu hawezi kuja anakuja j3 asubuhi anaenda hospital akimaliza anaondoka
Hii ina maana hata kwangu hatakanyaga,huyu mwanamke najitahidi kumheshimu lakini naona kila siku analeta dharau
Nina muda sijasex nae nimemwita ili tupate kukaa faragha japo hizi siku 2 anaishia kunijibu anakuja j3 asubuhi na anarudi kwake ina maana suala la kuja kwangu weekend kalikacha ,hii ni haki jamanii tumezaa mtoto mmoja lakini anavyonifanyia sometimes ni utoto kila nikipiga simu hazipiti siku 2 lazima tukwaruzane
Je kitendo cha kuja na kuondoka pasipo kupitia ninapoishi mzazi mwenzake ni haki jamanii?? nafadhaika sana moyoni.
Hahahaaaa eti amuoe as if Jamaa ndo mwenye maamuzi. We hupimi uhalisia tuu Jamaa na kulialia kote huko unahisi hatamani kumuoa?? Haaha shida IPO kwa bibi tukionao[emoji28] [emoji28]Ndio ni haki kama hujamuoa
Ila unaroho nzur sana,unatia hurumaaaa
Hebu muoe acha kuzini miaka 5 na mtoto juu nakazi mnazo jamn hapanaaa
Mwanamke anaonyesha kila dalili zakua na mwanaume mwingine halafu wewe unasema afunge ndoa kabisa,are u serious?Ndio ni haki kama hujamuoa