Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,683
- 98,680
Ndio,tunachagua wanaotuvutiaWanalazimisha Baada ya kusota au kuona kakutana na wa vigezo vyake na akimuachia hatampata.
Kwa mnatuchagua kisa vigezo? Kai kai
Ndio,tunachagua wanaotuvutiaWanalazimisha Baada ya kusota au kuona kakutana na wa vigezo vyake na akimuachia hatampata.
Kwa mnatuchagua kisa vigezo? Kai kai
Hahaha... bangi haujaacha tu huu wokovu wako naona umechagua dhambi za kuachaNilikuwa najiandaa kuita kikao cha ukoo tukufuate huko bar na bakora. Nilishakwambia uache kunywa balimi hauelewi. Bora uje tuvute bangi tu.
Nimeacha uzinzi tu. Hivi kwani kuvuta bangi ni dhambi? Wapi imeandikwa?Hahaha... bangi haujaacha tu huu wokovu wako naona umechagua dhambi za kuacha
Mwenye uwezo wa kulazimisha ndoa anakuwa ameweka aibu mbali na yeye aseeKati ya vitu hata mimi huwa sivielewi basi ni hilo la kulazimisha ndoa.
Khaaa.... Kwa Hiyo wengine hawavutiiiNdio,tunachagua wanaotuvutia
Kwakweli, huo ni ujasiri wa hali ya juu. Hivi huwa mtu hajiulizi huko mbeleni itakuwaje?Mwenye uwezo wa kulazimisha ndoa anakuwa ameweka aibu mbali na yeye asee
Inatia najisi Hiyo.....Nimeacha uzinzi tu. Hivi kwani kuvuta bangi ni dhambi? Wapi imeandikwa?
Hahahahh,nafikiri huwa ni akili za muda mfupi tuKwakweli, huo ni ujasiri wa hali ya juu. Hivi huwa mtu hajiulizi huko mbeleni itakuwaje?
Haya bhana mama naniliu... ila Hapo tunazibiana sasa mtu na Watu wake sio mtu.
Haya baba naniliu,ila i missed youHaya bhana mama naniliu... ila Hapo tunazibiana sasa mtu na Watu wake sio mtu.
Mimi hadi keyboard inatetemaHaya baba naniliu,ila i missed you
Mi nishapoteza 5kilos kwa sababu yakoMimi hadi keyboard inatetema
TehMi nishapoteza 5kilos kwa sababu yako
Tufanye hivo aseeTeh
Uje bas weekend tuzifidie na mdudu.
Daah Sitaki kuamini na mvinyo pia.... Basi usitie shakaTufanye hivo asee
Ila mi situmiagi mdudu...tutapanga kingine
Nikivuta wala sisauli, nakuwa mpole balaa.Inatia najisi Hiyo.....
Kama unavuta mwisho unasaura na kubangua Kwanini isiwe dhambi