Huyo dume l a mbegu keshaanza kuonesha uanaume wake tangia utotoni...pole mama kwa kupoteza ukaribu na mwanao!mpe nafasi awe huru na wewe yaani ajilete/awe kimbilio lake kwako akiwa na tatizo.Na simaanishi usiwe concerned,you should be ila pale inapobidi tu, kwa umri alokuwa nao anajua kutofautisha zuri na baya kwahio ondoa shaka.When you try too hard ndivyo atakavyojaribu kukuepuka...kuna rika mtoto akifika anajiona ameshakua kwahio anapenda aachiwe afanye maamuzi mwenyewe!
jipe hongera mwanao hapendi kuona mtu mwingine anakuwa katika wakati mgumu wakati angeweza kumwepusha atakuwa mtetezi hujazaa mwanasiasa (joke) mfano kama angesema dada kamuumiza dada angeogopa kidogo lakini yeye akaaamua kukinga kifua kwa ajili yake huyo ni mwanaume halisi umekuza Kongosho
jamani, sasa naye ana maamuzi gani?
Inaniumaje mie
Pamoja na hayo, alitakiwa aniambie ukweli, ila aniombe nisimgombeze dada. Kinachonikosesha raha ni yeye kuchagua mambo ya kunishieikisha.
he is troubled of something.....labda uhakikishe anakuwa na mtu mwingine wa kumueleza exactly how he feels...
kuna age unaona kumueleza mama kila kitu ni being weak.......
so anachokifanya ni 'emotional suppressing' he want to be tough on the outside....
chukulia simple yaweza kuwa hio hali itapita je ana kakazake/yake kama ndio waweza kumtumia kuhakikisha hapitilizi under 10 yrs bado mbichi
Hiyo ndio worry yangu. Ni kama anajifunza to take some punches on his own but ...
Na kama hawezi niambia mie, hawezi mwambia yeyote.
haka katabia hakajaanza siku hizi, ila kama kanakua vile.
Kama vile anakaribia kuniambia 'you worry too much'.