Napenda kuwajulisha wengi hapa JF kuwa waziri wa Uingereza anaitwa David Cameron na sio Cameroon kama wengi mnavyo andika hapa. Cameroon ni nchi ya kiafrica huko Africa ya kati.asanteni.
heheheh i seeAhsante kwa kutujulisha.
hata kama ila God made Adam and Eve not Adam and Steve
nadhani mara ya kwanza uliona kule kwenye jokes zanguhuu msemo umeusikia wapi? Mara ya pili sasa,
upo maeneo,mtoto unapiga doria balaanini?
.
upo maeneo,mtoto unapiga doria balaa
salutiacha uchokozi.
nadhani mara ya kwanza uliona kule kwenye jokes zangu
ilikuwa political slogan ya rais mmoja wa U.S.A sijui nanindioo,umeutoa wapi?maana umeung'ang'ania balaa
Yule aliyepigwa viatu Iraq lol!ilikuwa political slogan ya rais mmoja wa U.S.A sijui nani
Yule aliyepigwa viatu Iraq lol!
teh teh teh thanks,mana nilisoma fastaYule aliyepigwa viatu Iraq lol!
Kasemaje Uporoto?Ahsante kwa kutujulisha.
Kasemaje Uporoto?