Anahitajika Registered Civil and Building Engineer

Anahitajika Registered Civil and Building Engineer

JF Marketer

Member
Joined
Jan 3, 2009
Posts
80
Reaction score
34
Timu ya vijana watatu (promoters) iko katika mchakato wa kusajiri Kampuni ya Ujenzi (Nyumba na Barabara). Elimu na ujuzi wao uko katika masuala ya Biashara, Usanifu wa Majengo na Fedha. Ili kukidhi matakwa ya Kisheria na ya Kisekta (Contractors Registration Board-CRB) katika kusajiri Kampuni ya Ujenzi, wanamhitaji Muhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Wahandisi (Engineers Registration Board-ERB). Japo yeyote atakidhi hitaji lakini Muhandisi wa Kike anapewa kipaumbele zaidi.

Promoters wako tayari kwa makubaliano ya ubia wa muda mrefu au kwa makubaliano maalumu yatakayowawezesha kufanikisha malengo ya usajili.

Iwapo una sifa tajwa na uko tayari, nitumie PM ili niwaunganishe.
 
how abt Land Surveyor?
I have asked and the answer is; only ERB registered Engineer with specialization in either civil or Building can move them across the bridge. The Land Surveyor and or the QS do not qualify!
 
Back
Top Bottom