Anahitajika Programmer wa kuunganisha simu na database

Mpangamji

JF-Expert Member
May 12, 2010
540
140
Wadau salamu
anahitajika haraka mtaalamu wa programming anayeweza kuunganisha database yenye wafanyakazi 1000 wanaotambulika kwa unique namba kila mmoja, kwa lengo la kuwatumia sms kila mwezi, sms hizo zikiwa ni ujumbe tofauti kwa kila mmoja. hii inahitajika iwe inafanyika automatic.
mwenye uwezo wa kufanya kazi hii ani Pm nimpatie taratibu pamoja na maelewano ya bei.
 
Back
Top Bottom