Mimi nipo.....Anahitajika mwalimu wa kufundisha mwanafunzi wa kidato cha tatu kipindi hiki cha likizo.
VIGEZO
- atakuwa anamfundishia nyumbani
- atakuwa anamfundisha yale masomo matano basic
- awe anaishi Mbeya mjini
ZINGATIA utakapokuwa unafanya mawasiliano utaje na bei zako mwanafunzi anaingia kidato cha tatu january 2018
Wasiliana nasi kupitia
P. Box 2213,Mbeya.
Email:tubedevelopment17@gmail.com
Phone:0688241249
Unawaza kula tuShost alipata ajabu kama hilo, basi baada ya darasa dinner ilikuwa saved na watu wenyewe walikuwa wa mboga saba
Nafundish kwa video callingHaitajiki lecture bali teacher
Nipo makini sana sina utani kwani umetoa uhuru wa mtu kutaja bei zake sasa hapo ni negotiation tu,ili tuwe na makubaliano ya pande mbiliBe serious mzee
Mkuu mtu. 1 afundishe masomo 5 tofauti ??? Mbona hata wanaosomea ualimu huwa na masomo 2 we unataka ma5Anahitajika mwalimu wa kufundisha mwanafunzi wa kidato cha tatu kipindi hiki cha likizo.
VIGEZO
- atakuwa anamfundishia nyumbani
- atakuwa anamfundisha yale masomo matano basic
- awe anaishi Mbeya mjini
ZINGATIA utakapokuwa unafanya mawasiliano utaje na bei zako mwanafunzi anaingia kidato cha tatu january 2018
Wasiliana nasi kupitia
P. Box 2213,Mbeya.
Email:tubedevelopment17@gmail.com
Phone:0688241249