MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,595
- 3,459
yanapigwa makaratasi copy nyingi kisha yanakatwa size ya dola na yanawekewa ungaunga kisha inachukuliwa dola original kama mia nne au mia tano na zenyewe zina pakwa unga unga zina fanana na zile feki kisha zina pangwa juu ya feki.Duuuh sawa mkuu usichokijua .......
Akipatikana mtu wa kutapeliwa,inaletwa maji kwenye chupa kidogo ambayo mtapeliwa hajui km ni maji, ila anajua ni dawa ya kusafishia dola.
dola original iliyo pakwa unga unga inasafishwa, na yale maji yanaisha. na mtapeliwa anapewa dola mia iliyo safishwa aende aka badili ziwe za ki bongo. mtapeliwa anafanikiwa kubadili.
Hapo ndipo matapeli wana mwambia dawa imeisha na kuna mzungu anayo na inauzwa milioni kadhaa.
Hapo ndio maumivu yanapo anzia. unatoa hela ya kununua dawa na hutakaa uwaone tena hao watu.