Anahitajika Msichana wa Stationery - Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anahitajika Msichana wa Stationery - Arusha

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Bushbaby, Oct 8, 2012.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Wadau, anahitajika msichana wa kusimamia Stationey Sakina Arusha

  Sifa za Msichana


  1. Awe mkazi wa Maeneo ya Sakina au Majengo (kuepuka usumbufu wa kuchelewa kazini, nauli za kila siku n.k
  2. Awe na uelewa mzuri wa Ms Office Version Zote, zaidi sana Ms Publisher
  3. Awe anajua Photoshop
  4. Awe na Typing Speed nzuri
  5. Awe mchangamfu na mwenye lugha nzuri┬ů..  Kwa wanaotaka kazi hii, nitumie PM yenye namba ya simu ili niipeleke kwa wahusika
   
 2. M

  Msindima JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hiyo stationary ipo Sakina ipi? kwa idd, raskazone au?
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mtaa wa Silent Inn (waswahili huita Salentini!!)
   
 4. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wasiliana na huyu 0759 161747 ni mtaalam wa fani hiyo ameifanya kwa muda mrefu sasa...atakusaidia ktk kampuni yako.yuko arusha
   
 5. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Unalipa kiasi gani kwa mwezi?
   
 6. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Siyo Stationary bali ni stationery.
   
 7. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kiongozi hii nimeisikia mahali ndio nikaamua kuirusha humu kwa hiyo kama anataka kazi anafika tu pale akiona mshahara mdogo kwani atalazimishwa mkuu??
   
Loading...