Anahitajika mhudumu wa huduma za uwakala

volk

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
229
Reaction score
371
Habari wanajamvi anahitajika mhudumu mwenye uzoefu wa huduma za uwakala wa simu na benki sharti awe na mdhamini na anaishi dar es salaam maeneo ya kibamba
Mwenye kukidhi vigezo aje pm
 
na mimi nataka, awe mdada mdogo mdogo, wakipatikana wengi tunapata wote
 
MIMI HAPA NIPO ILA NAPATIKANA TEGETA WAZO...MTAALAMU KABISA MWAMINIFU NA NINAAMINIKA NA KUDHAMINIKA NA SERIKALI.
 
Habari wanajamvi anahitajika mhudumu mwenye uzoefu wa huduma za uwakala wa simu na benki sharti awe na mdhamini na anaishi dar es salaam maeneo ya kibamba
Mwenye kukidhi vigezo aje pm
Naitwa suzi ila nipo arusha nina shida na kazi
0620289048
 
Habari wanajamvi anahitajika mhudumu mwenye uzoefu wa huduma za uwakala wa simu na benki sharti awe na mdhamini na anaishi dar es salaam maeneo ya kibamba
Mwenye kukidhi vigezo aje pm
Na usisome biblia kihivyo my friend Dunia hii sio hiyo ya kina Musa inawezekana ni mtaa Moja TU ndo ulifurika maji Wala hata Tanzania haikuwapon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom