Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
- Thread starter
- #21
Kwa kifupi sina kwa hao wote uliotaja.Mbona ni fursa nzuri ambayo haihitaji kutangaza huku!?
Mkuu wewe huna ndugu..mtoto wa shangazi, mjomba, kaka, dada au hata jirani umpe hiyo nafasi??
Au kuna nini nyuma ya hiyo ajira.
Sasa weka upuuzi wako pembeni umpigie pande ndugu yako.
Pia usifikiri kila mtu anataka kufanya hizo Kazi.
Sijui ujinga kama wako watanzania tutauacha lini