Anahitajika Mfanyakazi Wa Ndani Comoros

Anahitajika Mfanyakazi Wa Ndani Comoros

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,996
Reaction score
11,887
Ana hitajika mfanya Kazi wa ndani.
Eneo la Kazi ni Comoros
Kazi yake kubwa itakuwa kuwaangalia watoto wakati mama yao amesafiri.
Mshahara kwa mwezi laki 3
Ticket ya ndege na gharama za passport utapewa.

Chakula, matibabu pamoja na mavazi vyote kwa mwajili wako.

Lugha sio tatizo utajifunza huko huko.

Kwa alie tayari Tuwasiliane.
 
Ana hitajika mfanya Kazi wa ndani.
Eneo la Kazi ni Comoros
Kazi yake kubwa itakuwa kuwaangalia watoto wakati mama yao amesafiri.
Mshahara kwa mwezi laki 3
Ticket ya ndege na gharama za passport utapewa.

Chakula, matibabu pamoja na mavazi vyote kwa mwakili wako.

Lugha sio tatizo utajifunza huko huko.

Kwa alie tayari Tuwasiliane.
Umri?

Jinsia?

Dini?

Mafao ya uzeeni?

Mkataba?
 
Kuangalia tu watoto au kazi zote pia jumla na watoto
 
Ana hitajika mfanya Kazi wa ndani.
Eneo la Kazi ni Comoros
Kazi yake kubwa itakuwa kuwaangalia watoto wakati mama yao amesafiri.
Mshahara kwa mwezi laki 3
Ticket ya ndege na gharama za passport utapewa.

Chakula, matibabu pamoja na mavazi vyote kwa mwakili wako.

Lugha sio tatizo utajifunza huko huko.

Kwa alie tayari Tuwasiliane.
Jamaa walianza kununua mbuzi, baadae vitunguu,... juzi nimewakuta wananunua mbogamboga leo wanataka kuchukua na watu kabisa!

Muulize kama huyo Maza ni singo Maza tuanzie hapo.
 
Wakiwa na shida utanunuliwa kila kitu ilimradi uingie kwenye nyumba ila ukishafika tu kwake tu basi no care.unakywa mtumwa otherwis uwe unajua kuongea kingereza cha kujitetea na sheria zako uzijue uwe jasiri yaani no ni no yes ni yes .apo mwarabu lazima atulize matako .
 
Ana hitajika mfanya Kazi wa ndani.
Eneo la Kazi ni Comoros
Kazi yake kubwa itakuwa kuwaangalia watoto wakati mama yao amesafiri.
Mshahara kwa mwezi laki 3
Ticket ya ndege na gharama za passport utapewa.

Chakula, matibabu pamoja na mavazi vyote kwa mwakili wako.

Lugha sio tatizo utajifunza huko huko.

Kwa alie tayari Tuwasiliane.
Mbona ni fursa nzuri ambayo haihitaji kutangaza huku!?
Mkuu wewe huna ndugu..mtoto wa shangazi, mjomba, kaka, dada au hata jirani umpe hiyo nafasi??
Au kuna nini nyuma ya hiyo ajira.
 
Jamaa walianza kununua mbuzi, baadae vitunguu,... juzi nimewakuta wananunua mbogamboga leo wanataka kuchukua na watu kabisa!

Muulize kama huyo Maza ni singo Maza tuanzie hapo.
Ana mume ambae amehamia nyumba ndogo. Hapo sasa sijui unaniweka kundi gani. Ila she's well established. Pesa iko
 
Back
Top Bottom