proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,595
- 4,972
Habari
Kama kichwa kinavyojieleza, anatakiwa mdada wa kuhudumia mgahawa (Restaurant) sio cafe ni mgahawa mkubwa, mahali pa kazi ni Kahama, kama una ndugu ama wewe mwenyewe ni muhitaji tafadhali piga namba hizi
+255759713027__ huyu ni bosi mwenyewe mwenye Restaurant so ukipiga mueleze kuwa ni kwa ajili ya kazi tajwa hapo juu
Mimi nimesaidia ku share
Asante!!