Anahitajika Kijana anayejua kunyoa

Anahitajika Kijana anayejua kunyoa

Joined
Oct 3, 2020
Posts
13
Reaction score
2
  1. Anaitajika kijana Mwenye uzoefu wa Kunyoa

Sifa za Muombaji

Awe anauzoefu wa mwaka mmoja au zaidi,
Awe anauwezo wa Kuzunguza ,Kushawishi, na Kuwasiliana Vizuri na Wateja,
Awe Mvumilivu na Mwenyekujituma kwenye kazi,
Awe tayari kufanya kazi Mpaka Usiku wateja watakapo isha,

MWENYEKITI WA BODI
KECO GROUP LTD
S.L.P 34332,
DAR ES SALAAM, TANZANIA.

Email: kecogrouplimited@gmail.com / 0717412002

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 01 December 2021 saa sita usiku.
 
  1. Anaitajika kijana Mwenye uzoefu wa Kunyoa

Sifa za Muombaji
Awe anauzoefu wa mwaka mmoja au zaidi,
Awe anauwezo wa Kuzunguza ,Kushawishi, na Kuwasiliana Vizuri na Wateja,
Awe Mvumilivu na Mwenyekujituma kwenye kazi,
Awe tayari kufanya kazi Mpaka Usiku wateja watakapo isha.

MWENYEKITI WA BODI
KECO GROUP LTD
S.L.P 34332,
DAR ES SALAAM, TANZANIA.

Email: kecogrouplimited@gmail.com / 0717412002

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 01 December 2021 saa sita usiku.
 
hao wanaingiaga jf kweli aisee? wapo huko vijiweni hata hawajui kinachoendelea hapa. labda kama kuna ndugu yake akawatonye.
 
Naongezea hapo,asiwe mtu wa kupenda sana kupiga story mpaka anokosea kuonyoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom