Makirita Amani
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 1,914
- 3,438
Sidhan kama ni utaratibu mzuri kufanya kazi ya uhakika.Kama unaweza kuifanya kazi tengeneza kwanza prototype na unitumie kwenye email crm@mauzo.tz kisha tutaanzia hapo.
Hii.Au developer yuko huru kutengeneza huo mfumo kwa njia yoyote ilimradi ufanye kazi vizuri.
Fanya hivyo mkuu.Sidhan kama ni utaratibu mzuri kufanya kazi ya uhakika.
Nimekucheki PM kwa maelezo zaidi.
Nilichokosoa ni uliposema mtu kufanya tu prototyping bila makubaliano yoyote. Ukiwa umeweka makubaliano clear inakuwa ni uhakika na usalama zaidi kwa pande zote mbiliFanya hivyo mkuu.
Hii ni kazi ya uhakika.
Na siyo mara ya kwanza kufanya.
Karibu.
Mkuu,Nilichokosoa ni uliposema mtu kufanya tu prototyping bila makubaliano yoyote. Ukiwa umeweka makubaliano clear inakuwa ni uhakika na usalama zaidi kwa pande zote mbili
Nimekucheki PM Mkuu, Karibu tukuhudumie kwa uhakika zaidi
View attachment 2739603
Pole sana kwa huo usumbufu chief.Mkuu,
Nimefanya kazi na developers kadhaa na kwa bahati mbaya nimekuwa napata usumbufu sana.
Ndiyo maana nimeliweka wazi hapa, kwa aliye serious aje na kitu chochote functional kwa hizo sheets nimeweka hapa.
Hiyo prototype inakuwa yako, sitai own in any way, nataka niweze ku access kama user kwanza na nikiridhika tunaenda kwenye makubaliano na kazi inaendelea.
Do anything which can work and show me what I am going to get halafu tuendelee kuanzia hapo.
Napima mengi kwenye hilo, na kila kitu kitakwenda fairly kabisa.
Usihangaike na PM, fanya prototype kisha tuwasiliane kwa email; crm@mauzo.tz
Kama itafaa kwa upande wako karibu.
Kama haitafaa basi achana nayo.
Asante.
Asante mkuu kama umeelewa.Pole sana kwa huo usumbufu chief.
Nimeona baadhi ya projects ambazo nadhani ni zako. I'll try to convince you to work with my company so expect our prototype in 3 days. Thanks.
aiseeKama unaweza kuifanya kazi tengeneza kwanza prototype na unitumie kwenye email
Pole sana 😆🤣Nimewahi kuahidiwa project wiki 8 ikachukua mwaka, ya mwaka ikachukua miaka 2
Asante mkuu kama umeelewa.
Nina projects nyingi sana, lakini sijawahi kupata developer mwenye work ethic ambayo ina match kile ninachotaka.
So show what you've got, don't tell.
So we are counting down, to friday 8th september.
And lets be very fair, point yetu ya kwanza ni kupata prototype by friday tarehe 08. So ikipita hiyo hujaleta tunakuwa tumeishia hapo.
Kwa sababu moja ya vitu vimekuwa vinanidisapoint kwenye hizi projects ni muda.
Nimewahi kuahidiwa project wiki 8 ikachukua mwaka, ya mwaka ikachukua miaka 2.
Karibu sana.
Mkuu,Done!
Made from scratch in 1 day using ReactJS, PHP (pure) and MySQL.
Simple, Clear, Responsive and Network Efficient. You can try on Mobile, Tablet and Desktop. Can Easily be converted into a Mobile App.
Info zaidi, Access pamoja na link ya source code nimekutumia kwenye email address ulioitoa.
Nimeamua kukutumia na source code sababu idea nzima ni yako na sisi tumepita humohumo. Isitoshe tunazo custom CRMs kadhaa sababu wateja/makampuni mengi yanakuja na ideas zao kama ulivyotoa wewe hapa, nyingine 'too far advanced' then sisi tunaandika tu Code. I just hope you will be fair as you said earlier.
Thanks & Welcome.
Screenshots
View attachment 2741054
View attachment 2741055
View attachment 2741056
View attachment 2741057
View attachment 2741058
Project Flow, Progress & Milestone
View attachment 2741047