Anahitajika Bwana Shamba Lindi

Anahitajika Bwana Shamba Lindi

Joined
Jun 14, 2010
Posts
63
Reaction score
43
Ninahitaji mtu mwenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kusimamia shughuli za Kilimo katika Shamba binafsi Mkoani Lindi:
  • Awe na ufahamu na maarifa juu ya kilimo cha mazao ya biashara ya muda mfupi na ya muda mrefu kama vile Ufuta, Korosho na Alizeti
  • Awe na uzoefu katika kusimamia kazi za kilimo cha mazao ya biashara ya muda mfupi na ya muda mrefu kama vile Ufuta, Korosho na Alizeti
  • Ajue kuandaa mpango na bajeti ya kazi za shamba, kugawa kazi na kusimamia na kuhakikisha mpango kazi unatekelezwa kikamilifu na kwa wakati ndani ya bajeti iliyoidhinishwa
  • Awe na historia ya kusimamia kikamilifu na kwa mafanikio vijana wa shamba au watumishi wasiopungua 10 chini yake
  • Asiwe na historia ya wizi, udokozi au udanganyifu katika kazi na jamii anayotoka.
  • Awe na umri wa miaka kati ya 30-35
Mwenye kukidhi vigezo awasiliane nami kupitia:

E-mail: marukuvanilla@gmail.com

Mshahara utafikiwa kwa njia ya maelewano kati ya muombaji na muajiri. Pia kutakuwa na bonus ya kufikia malengo na ufanisi katika kazi.
 
Mshahara utafikiwa kwa njia ya maelewano kati ya muombaji na muajiri. Pia kutakuwa na bonus ya kufikia malengo na ufanisi katika kazi.
 
Nasikia huko watu ni wavivu hawalimi. Sasa bwana shamba kazi yake ni nn
 
Mkuu, Ulishapat mtu na shamba lipo Lindi maeneo gani..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom