Anahitaji ushauri kuhusu hili:

Anahitaji ushauri kuhusu hili:

Ukisoma kwa makini hapa
maswali yanakuwa mengi ...
  • Alipokuja hapa tz na kutoa minoti na kumuachia ki IST, hawakuwahi
    kugegedana? Walikubaliana nini?
  • Hawakuweza kuongea juu ya hatma ya mahusiano yao?
  • Ana ushahidi gani kuwa huyo ni daktari bingwa huko majuu na siyo
    tapeli?
  • Kwanini asimtumie nauli huyo binti aende kwake au yeye awe anarudi
    baada ya muda fulani kupata hiyo huduma?
  • Kwanini amtishe huyo dada kuwa kama hawezi kufanya mapenzi online,
    amruhusu yeye kugegeda msichana mwingine kukudhi haja zake? Hivi
    asingeweza kugegeda bila kuomba ruhusa? Kwanini kuna vitisho?

Kama mada hii ni ya kweli, kwa haraka haraka, nahisi anataka kumfundisha
huo mchezo wa kufanya mapenzi online, ili awe ANAMREKODI na kuzichukua
picha hizo za video na kuziuza kwenye mitandao ya ngono huko kwako. Na
hiyo ndiyo sababu ya kumhonga gari na hela nyingi. Ni ngumu kuhongwa
hivyo kwa ajili ya michezo ya online. Kuna kitu ndani yake. Michezo hiyo
ni mingi siku hizi, mwambie afunguke kiakili, atadhalilika!

Sijui akina snowhite,
SnowBall, Kongosho,
Kaunga, gfsonwin,
Mr Rocky, neggirl,
Nivea, Kaunga nk
mnauelewaje mchezo huu!

lolz..

nachokiona hapa hii ni hadith ya kufikirika. Ndani ya miezi mi2 mtu anahonga gari na pesa juu ili hali akijua ni distance r.ship!!

na huko kubanwa ghafla mpaka kutaka game online b4 alikuwa anafanyaje? kwa commitment ipi mpaka ahahe hivyo.. watch lol

mytake: tuachane na kuiga kwingi na kufuata tamaduni za watu.
 
Last edited by a moderator:
Bado sijaelewa kinachosemwa hapa..
Wacha nisome comments za wengine kwanza
 
Mkuu HorsePower kabla ya kuja huku na kukutana na huyo mdada kwani huko alikokuwa hakuwa na mtu wa kugegedana nae au alikuwa anafanyaje kukudhi haja zake za kimwili mpaka alipokutana na huyo mdada on line na wakaanza mahusianao yao
Na imekuwaje kwa sasa anashindwa kuvumilia mpaka anamlazimisha mdada wa watu kufanya sex online
nafikiri ushauri wako wa mwisho umemaliza yote maana siku hizi kila kitu ni biashara mkuu
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaaa ur so lovely Mentor .....

522794_418618178171834_275285939171726_1356320_1337442566_n.jpg
 
asifanye huyo...amwambie huyo jamaa anayedai kuwa "daktari bingwa majuu" aje achukue kiIST chake kama vp...asilogwe akafanya...what if he makes money through hizo video?
"mapenzi" ya miezi miwili na mtu anakuja kukuona na kukupa IST??? NO FREE LUNCH HELLOOOOOOO
 
mapenzi online? duu hii ni mpya ....mapenzi kwa kutumia kamera bora achukue video ya xxx aangalie tu..
 
Hmm huyo jamaa ni producer wa porn

Awe makini bidada.......atalizwajeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom