Anahitaji ushauri kuhusu hili:

Anahitaji ushauri kuhusu hili:

kumlazimisha kufanya mapenzi ni ubakaji.
kabla ya kukutana na huyo bidada, huyo bazazi alikuwa anafanyaje akikamatwa na genye?
 
hahahahahahahaha... Kongosho na watu8 mshajaribu hyo mambo nini? Hembu nipeni uzoefu. Hahahahaha

Mmmh hivi imekuaje kwanza miye na Konnie leo tumewaza sawa...

Miye sina eksipiriensi ila nimefikiria kizembe tu...
 
Last edited by a moderator:
hhaaaaaa nimecheka kwa sauti kubwa....hhahaaaaaaa watu8 hii ni iksipiriensi

Let's give it a kick siku moja...anza kwa kuinstall skype kwenye kompyuta yako huko basi mimi huku kwangu tayari ninayo...
 
Last edited by a moderator:
Kuna rafiki yangu wa karibu, mwanamke (sio gf wangu) amekutana na mtu online na kuanzisha mahusiano. Kwa maelezo yake mahusiano hayo yana Kama miezi miwili hivi, na jamaa anaonekana kafika kwa huyo mdada. Mwezi mmoja baada ya kukutana, jamaa akaingizana Dar na wakakakutana USO kwa macho. Jamaa ni daktari bingwa huko majuu. Baada ya huyo jamaa kuondoka akiwa amepata pochi la uhakika na ki-IST kamuachia, huko aliko sasa anamlazimisha wafanye mapenzi online. Mdada hajazoea na jamaa anamwambia hawezi kuvumilia mpaka watakapoonana, vinginevyo amruhusu awe a natafuta mtu wa chapuchapu kumaliza hamu yake. Mdada kachanganyikiwa, ameniambia ushauri na mie nimeshindwa ni shauri nini. Msaada bandugu

Ukisoma kwa makini hapa maswali yanakuwa mengi ...
  • Alipokuja hapa tz na kutoa minoti na kumuachia ki IST, hawakuwahi kugegedana? Walikubaliana nini?
  • Hawakuweza kuongea juu ya hatma ya mahusiano yao?
  • Ana ushahidi gani kuwa huyo ni daktari bingwa huko majuu na siyo tapeli?
  • Kwanini asimtumie nauli huyo binti aende kwake au yeye awe anarudi baada ya muda fulani kupata hiyo huduma?
  • Kwanini amtishe huyo dada kuwa kama hawezi kufanya mapenzi online, amruhusu yeye kugegeda msichana mwingine kukudhi haja zake? Hivi asingeweza kugegeda bila kuomba ruhusa? Kwanini kuna vitisho?

Kama mada hii ni ya kweli, kwa haraka haraka, nahisi anataka kumfundisha huo mchezo wa kufanya mapenzi online, ili awe ANAMREKODI na kuzichukua picha hizo za video na kuziuza kwenye mitandao ya ngono huko kwako. Na hiyo ndiyo sababu ya kumhonga gari na hela nyingi. Ni ngumu kuhongwa hivyo kwa ajili ya michezo ya online. Kuna kitu ndani yake. Michezo hiyo ni mingi siku hizi, mwambie afunguke kiakili, atadhalilika!

Sijui akina snowhite, SnowBall, Kongosho, Kaunga, gfsonwin, Mr Rocky, neggirl, Nivea, Kaunga nk mnauelewaje mchezo huu!
 
Last edited by a moderator:
Dunia haiishi mambo, mi nina rafiki yangu alikuwa na friend mhindi walikuwa wanawasiliana kwa skype, Mara jamaa akawa anatoa nyeti zake kumuonesha na kumwambia shosti nae achojoe viwalo!! Nadhani hizo ndo mambo za online
 
3563_613334422028146_130005787_n.jpg
 
Mmmh hivi imekuaje kwanza miye na Konnie leo tumewaza sawa...

Miye sina eksipiriensi ila nimefikiria kizembe tu...

unakijua "kipinchi" hahaha..najua hujui

halaf inawezekana ni patna kwenye hii mambo..hahahah
 
Ukisoma kwa makini hapa maswali yanakuwa mengi ...
  • Alipokuja hapa tz na kutoa minoti na kumuachia ki IST, hawakuwahi kugegedana? Walikubaliana nini?
  • Hawakuweza kuongea juu ya hatma ya mahusiano yao?
  • Ana ushahidi gani kuwa huyo ni daktari bingwa huko majuu na siyo tapeli?
  • Kwanini asimtumie nauli huyo binti aende kwake au yeye awe anarudi baada ya muda fulani kupata hiyo huduma?
  • Kwanini amtishe huyo dada kuwa kama hawezi kufanya mapenzi online, amruhusu yeye kugegeda msichana mwingine kukudhi haja zake? Hivi asingeweza kugegeda bila kuomba ruhusa? Kwanini kuna vitisho?

Kama mada hii ni ya kweli, kwa haraka haraka, nahisi anataka kumfundisha huo mchezo wa kufanya mapenzi online, ili awe ANAMREKODI na kuzichukua picha hizo za video na kuziuza kwenye mitandao ya ngono huko kwako. Na hiyo ndiyo sababu ya kumhonga gari na hela nyingi. Ni ngumu kuhongwa hivyo kwa ajili ya michezo ya online. Kuna kitu ndani yake. Michezo hiyo ni mingi siku hizi, mwambie afunguke kiakili, atadhalilika!

Sijui akina snowhite, SnowBall, Kongosho, Kaunga, gfsonwin, Mr Rocky, neggirl, Nivea, Kaunga nk mnauelewaje mchezo huu!
Kaka, mi Nadhani hiyo para ya mwisho ndio yenyewe. Cku hizi watu wanatafuta pesa kwa mbinu zote. Ushauri wako ni bora zaidi.thanks
 
Hapo ujue keshamnunulia laptop MAckbook air yenye web cab sasa binti anachotakiwa kufanya ni ku pose nude kwenye skype maana watakuwa wanaonana live so wote wapo nude, dada anatakiwa awe anajishika shika nyeti zake ana prick clitoo, anshikashika nipples zake hapo ni in front of webcam zile movement za sex na miguno ya rahatupika , sasa upande wa pili jamaa lina watch nalo naked likipiga nyeto kwa kuangalia mpaka likojoe. Angalizo dada zetu kuweni makini sana na njia za mkato za maisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom