Anahitaji ushauri kuhusu hili:

Anahitaji ushauri kuhusu hili:

mwanafyale

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
1,641
Reaction score
539
Kuna rafiki yangu wa karibu, mwanamke (sio gf wangu) amekutana na mtu online na kuanzisha mahusiano. Kwa maelezo yake mahusiano hayo yana Kama miezi miwili hivi, na jamaa anaonekana kafika kwa huyo mdada. Mwezi mmoja baada ya kukutana, jamaa akaingizana Dar na wakakakutana USO kwa macho. Jamaa ni daktari bingwa huko majuu. Baada ya huyo jamaa kuondoka akiwa amepata pochi la uhakika na ki-IST kamuachia, huko aliko sasa anamlazimisha wafanye mapenzi online. Mdada hajazoea na jamaa anamwambia hawezi kuvumilia mpaka watakapoonana, vinginevyo amruhusu awe a natafuta mtu wa chapuchapu kumaliza hamu yake. Mdada kachanganyikiwa, ameniambia ushauri na mie nimeshindwa ni shauri nini. Msaada bandugu
 
Tukushauri nini sasa?

Mwambie ajiunge JF tumshauri mwenyewe.
 
Hehehe wafanye mapenzi online! Hivi wanafanyaje? Hahaha dunia ina mambo!
 
sijajua ki ist na pochi la uhakika ...vnahusu vipi na shida yake?
 
Siku wakifanya uje utuambie best na mie nasikiaga tu hayo mambo.
 
Mmmmh Jamani mapenzi ya siku hizi ni balaa
 
He hhe he he, yaani analilia kuujichua?! Akili ni nywele wengine wana upara.
 
mhm long distance hizo tabu kweli...banwa na genye alafu papuchi ipo mbali
 
hahahahahahahaha... Kongosho na watu8 mshajaribu hyo mambo nini? Hembu nipeni uzoefu. Hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Kuna rafiki yangu wa karibu, mwanamke (sio gf wangu) amekutana na mtu online na kuanzisha mahusiano. Kwa maelezo yake mahusiano hayo yana Kama miezi miwili hivi, na jamaa anaonekana kafika kwa huyo mdada. Mwezi mmoja baada ya kukutana, jamaa akaingizana Dar na wakakakutana USO kwa macho. Jamaa ni daktari bingwa huko majuu. Baada ya huyo jamaa kuondoka akiwa amepata pochi la uhakika na ki-IST kamuachia, huko aliko sasa anamlazimisha wafanye mapenzi online. Mdada hajazoea na jamaa anamwambia hawezi kuvumilia mpaka watakapoonana, vinginevyo amruhusu awe a natafuta mtu wa chapuchapu kumaliza hamu yake. Mdada kachanganyikiwa, ameniambia ushauri na mie nimeshindwa ni shauri nini. Msaada bandugu
One mistake One Gooooooal !!
Asithubutu atalipa gharama ya ubinti wake " Biashara haramu " !! Wajanja wengi na mbinu zao kupata masilahi yao.
 
The Boss hcho ki Ist na pochi vmetumika kupambanua umaskini wao wa mawazo ili kutuvuta tumhurumie mtoaji na kukubaliana na upumbav wao.
 
Last edited by a moderator:
He! Makubwa wafanye online how kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom