Ndugu mbona wewe upo siku nyingi hapa JF halafu unakuwa kama mgeni aliyejiunga leo? kwa kifupi huyo mtu kwa hapa JF hana market yoyote, nenda jukwaa la tekinolojia tafuta thread inayoitwa JINSI YA KU UNLOCK MODEM. watu wamepewa hiyo elimu bure, kama umeliwa pesa kwa ajili hiyo pole sana. usiwe mvivu wa kupekuwa majukwaa humu JF. HAYA WADU SOFTWARE NI HIYO HAPA HALIWI MTU PESA.
View attachment 22816