Hiv jamaa anaisemeaje picha kama hii! Kwann asijitoe mwenyewe tu
Hapo ndipo tutaona umakini wa ACT,wapi hekima ya suleiman msindi?
watu wa moro Sio watu wakupenda mabadiliko na huona fahari kutawaliwa na ngozi nyeupe. Hata chama kinajua ukitaka kupata kura morogoro weka mtu mweupe.Hahahaha cc hatutaki vichaa moro Abood azizi again
watu wa moro Sio watu wakupenda mabadiliko na huona fahari kutawaliwa na ngozi nyeupe. Hata chama kinajua ukitaka kupata kura morogoro weka mtu mweupe.
Wanafanana na wazaramo japo kwa wazaramo interaction ya jamii zingine imesaidia kuwafunika wazaramo
Nakumbuka enzi ya gulamali. Shamin khan. Chodri nk
Ukiona mtu wa moro/mluguru anapenda mabadiliko basi jua Amesoma
Atafute shughuli nyngne ya kufanya na sio siasa.
Kuna jamaa yangu mmoja anatoka Morogoro, Kipindi cha uchaguzi wa 2010 alitembelea kwao, akawakuta vijana wamebeba matawi ya miti wanacheza ngoma kushangilia CCM kama hawana akili nzuri. Tena walikuwa wanaimba nyimbo za kuwabeza wapinzani na kujisifu wao ni chama dume, matokeo CCM ilishinda kwa kishindo Morogoro.
Baada ya miezi michache alipotembelea tena Morogoro mjini ndio alipopatwa na hasira sana, maana vijana wale wale wa chama dume wamekuwa omba omba ving'ang'anizi. Kila aliyekutana naye amuachie buku, mwingine japo mia tano na kila mtu anamuelezea matatizo tu. Akashangazwa kwanini hawataki mabadiliko, Moro maisha magumu lakini hawataki mabadiliko.