umekunywa supu ya pweza nini?
Nenda mwaya mie nahimili moja ofcourse mie ni jirani yako imean mchaga tih tehAwe na uwezo au ujuzi wa ziada wakunifanya nifike haraka mlimani tht is wht i want.
Is any one there?
Au mnaniruhusu nikatafute kwetu Tanga?
umekunywa supu ya pweza nini?
Hahahaaa... Nimeipenda hiyo..Nakushauri umwone doctor first before hujaenda kwa huyo bibie.magoli 2-3 kwa afya saba umekua farasi?
Awe na uwezo au ujuzi wa ziada wakunifanya nifike haraka mlimani tht is wht i want.
Is any one there?
Au mnaniruhusu nikatafute kwetu Tanga?