anaeweza kunifundisha ufundi simu

anaeweza kunifundisha ufundi simu

poul

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
56
Reaction score
17
natamani sana kujifunza ufundi simu, kote upande wa hardware na software...niko mwanza..km kuna anaweza nisaidia, tuongee
 
Safi sana
uwe na subira wajuzi wa teknolojia
watakupa ufafanuzi namna na mahali
wanapopatikana.
 
Una kiwango gani cha elimu ya darasani?
 
Nenda kajiunge kwenye gsmforum...chagua aina ya simu mbili...mfano nokia au samsung...soma thread zote na ujue unlock box za hizo simu...ie..cyclonebox..z3x......nunua box anza ku practice on dead phones....tafuta fundi simu mwanza uwe rafiki yake....atakusaidia pia...🙂
 
Huyo mharibifu mwingine!nawaogopa sana wataalamu "natamani na mimi"bila uwezo!nishapoteza simu,camera kwa jamii hii ya mafundi!
Neno lao la mwisho samahani bro unajua dogo nilimwambia aifungue hapa basi bahati mbaya akai.... nyie!
 
Nenda kajiunge kwenye gsmforum...chagua aina ya simu mbili...mfano nokia au samsung...soma thread zote na ujue unlock box za hizo simu...ie..cyclonebox..z3x......nunua box anza ku practice on dead phones....tafuta fundi simu mwanza uwe rafiki yake....atakusaidia pia...🙂

hapo sasa...ntajaribu kuangalia jinsi ulivyonielekeza....
 
fuata ushauri wa @bsod

embu tazama walipotoka kwanza


jamm.jpg

kisha yatambue magonjwa makuu ya simu

1. Mobile Phone Dead ----------------kuna njia zake za kutatua
2. Insert Sim Card Problem--------


3. Hanging Problem-------------------

4. Network Problem--------------

5. Mic Problem-------------

6. Ringer Problem----------

7. Speaker Problem------------

8. Vibrator Problem------------------

9. Display Problem--------------------

10. Mobile Restart/ Switch Off Automatically Problem------------

11. Call Cut Off Problem---------------
12. Charging Problem---------------------
13. Keypad Problem-------------------
14. Sim Lock/ Mobile Lock Mobile--------------
15. Contact Service/ Contact Retailer/ Contact Manufacturer-------------
16. Battery Discharge Problem----------------
17. Gallery Not Opening Problem----------------
18. Camera Problem-------------------
19. FM Radio-------------------
20. LED Problem-------------------------
21. Memory Card Problem----------------------
22. Bluetooth Problem
----------------
 
Nenda kajiunge kwenye gsmforum...chagua aina ya simu mbili...mfano nokia au samsung...soma thread zote na ujue unlock box za hizo simu...ie..cyclonebox..z3x......nunua box anza ku practice on dead phones....tafuta fundi simu mwanza uwe rafiki yake....atakusaidia pia...🙂
hapo umempa mwanzo mzuri au pia anaweza kwenda gsmindia.com
 
Back
Top Bottom