Mkuu , umeeleza kwa ufasaha kabisa. Ila kwa kuzingatia ni mgeni wa hayo mambo lazima ahakikishe ame UNTICK PRELOADER wakati wa kuflash ili kuepusha risk ya DEADBOOT , iwapo flashing itakua interupted
Kingine ni kuwa huyo mwenye simu hakutoa ufafanuzi vizuri.
Kuzima simu inawezekana labda
Imepiga shot kwenye sakiti
Battery imetumika mpaka ikawa dry n.k
Cha kumshauri huyu mwenye simu ni kuwa aelezee tatizo limetokeaje.
Je hiyo simu kwenye computer inasoma?
Je hiyo simu akiweka chaji naonesha kuingiza au laa?
Lamba terminal za battery uone kama inachaji .
Sent using
Jamii Forums mobile app