Anaeweza Ku-flash simu

Anaeweza Ku-flash simu

Kuna uwezekano, kwakuwa battery ipo na rating ambazo zinatakiwa ziendane na chaja yake.

Kutumia tumia chaja za hovyo hovyo kuna zoofisha battery japo si jambo la mara moja tu, (huchukua muda.)

Hiyo battery yako ina muda gani ?

Kama kuna uwezekano badili battery na chaja kwa pamoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
What happens simu yako hains technology ya fast charg lakini unatumia chaja ya fast charging....kuna madhara yoyote kwa simu ,battery au system charging?

Sent using Samsung Galaxy
 
Yes ww ndo umepiga msumali wa mwisho
Mkuu , umeeleza kwa ufasaha kabisa. Ila kwa kuzingatia ni mgeni wa hayo mambo lazima ahakikishe ame UNTICK PRELOADER wakati wa kuflash ili kuepusha risk ya DEADBOOT , iwapo flashing itakua interupted

Kingine ni kuwa huyo mwenye simu hakutoa ufafanuzi vizuri.

Kuzima simu inawezekana labda
Imepiga shot kwenye sakiti
Battery imetumika mpaka ikawa dry n.k

Cha kumshauri huyu mwenye simu ni kuwa aelezee tatizo limetokeaje.

Je hiyo simu kwenye computer inasoma?

Je hiyo simu akiweka chaji naonesha kuingiza au laa?

Lamba terminal za battery uone kama inachaji .

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What happens simu yako hains technology ya fast charg lakini unatumia chaja ya fast charging....kuna madhara yoyote kwa simu ,battery au system charging?

Sent using Samsung Galaxy
Kwa hapo nisiseme kitu, kwa kuwa sio mtaalamu upande wa hardware. Ila inachaji kama kawaida. (mimi nimeshatumia , na sikuona madhara)

Ila ni vema ukatumia charger iliyo na rating sahihi kwa battery yako (japo sio kawaida yetu wa tz)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hapo nisiseme kitu, kwa kuwa sio mtaalamu upande wa hardware. Ila inachaji kama kawaida. (mimi nimeshatumia , na sikuona madhara)

Ila ni vema ukatumia charger iliyo na rating sahihi kwa battery yako (japo sio kawaida yetu wa tz)

Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry ....utafahamu vp kwamba battery lako linaendaje na chaja ya simu?

Sent using Samsung Galaxy
 
Kuna uwezekano, kwakuwa battery ipo na rating ambazo zinatakiwa ziendane na chaja yake.

Kutumia tumia chaja za hovyo hovyo kuna zoofisha battery japo si jambo la mara moja tu, (huchukua muda.)

Hiyo battery yako ina muda gani ?

Kama kuna uwezekano badili battery na chaja kwa pamoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kwani ukitumia Data na matumizi ya kawaida tu ya simu Kwa hizi smartphone Aina ya Samsung Chaji inaweza kuzidi Masaa 10 mpaka 15
 
Back
Top Bottom