Anaeweza Ku-flash simu

selebob

Member
Jul 7, 2015
26
45
Habari zenu wapendwa
Nina TECNO C5s imezima ghafla
kwa anaeweza kuflash ajitokeze
 
Scars

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
13,398
2,000
Requirements

1.Download firmware ya tecno c5 bila kukosea bulid namba ya simu ili usichsnganye. pamoja na USB drivers au VCOM DRIVERS halafu uzi extract

2. download sp flash tool

3. uwe na computer (PC)

Procedures

Namna ya kuinstall hizo usb drivers

Fungua device manager then click ports halafu upande wa juu utaona kuna option imeandikwa option uki bofya hapo utaona kuna neno limeandikwa add legarcy device, click hapo itakuja window yenye option mbili 1: install software automatic (recomended) 2: install software manual hapo click option namba mbili uanze kuinstall manual

Baada ya kuchagua option ya manual hapo itakuletea kipengele cha kuchagua aina gani ya software unayoitaka, hapo unatakiwa uchague mahali palioandikwa MEDIA TEK baada ya hapo upande wa kulia kuna feature yakuchagua kuweka hizo drivers kutoka katika mafaili yako yaliyo katika disk yako. Uki click hapo itakupeleka kwenye disk zako na hapo utatakiwa uende mahala ulipo hifadhi hizo drivers baada ya kuzi extract na winrar au software yoyote ile, sasa uki bofya hiyo driver utakua umekubali kuinstall moja kwa mojaSent using unknown device
 
Philipo D. Ruzige

Verified Member
Sep 25, 2015
6,426

Mkuu , umeeleza kwa ufasaha kabisa. Ila kwa kuzingatia ni mgeni wa hayo mambo lazima ahakikishe ame UNTICK PRELOADER wakati wa kuflash ili kuepusha risk ya DEADBOOT , iwapo flashing itakua interupted

Kingine ni kuwa huyo mwenye simu hakutoa ufafanuzi vizuri.

Kuzima simu inawezekana labda
Imepiga shot kwenye sakiti
Battery imetumika mpaka ikawa dry n.k

Cha kumshauri huyu mwenye simu ni kuwa aelezee tatizo limetokeaje.

Je hiyo simu kwenye computer inasoma?

Je hiyo simu akiweka chaji naonesha kuingiza au laa?

Lamba terminal za battery uone kama inachaji .Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee umenikumbusha kitu cha msingi sana mkuu shukrani sana ujue ku type nako ni kazi sana

Sent using unknown device
 
selebob

Member
Jul 7, 2015
26
45
Mkuu , umeeleza kwa ufasaha kabisa. Ila kwa kuzingatia ni mgeni wa hayo mambo lazima ahakikishe ame UNTICK PRELOADER wakati wa kuflash ili kuepusha risk ya DEADBOOT , iwapo flashing itakua interupted

Kingine ni kuwa huyo mwenye simu hakutoa ufafanuzi vizuri.

Kuzima simu inawezekana labda
Imepiga shot kwenye sakiti
Battery imetumika mpaka ikawa dry n.k

Cha kumshauri huyu mwenye simu ni kuwa aelezee tatizo limetokeaje.

Je hiyo simu kwenye computer inasoma?

Je hiyo simu akiweka chaji naonesha kuingiza au laa?

Lamba terminal za battery uone kama inachaji .Sent using Jamii Forums mobile app
ilikua inaishia kwenye nembo ya camon ila baadae ikawa haiwaki kabisa lakini nikichomeka usb wire kwenye computer, pc ina detect kitu kilicho chomekwa kwenye pc
 
Philipo D. Ruzige

Verified Member
Sep 25, 2015
6,426
2,000
ilikua inaishia kwenye nembo ya camon ila baadae ikawa haiwaki kabisa lakini nikichomeka usb wire kwenye computer, pc ina detect kitu kilicho chomekwa kwenye pc
Sasa hapa ndio umeeleza vizuri.

Simu ikiwa haimalizi (bootloop) ,

Solution 1- Fanya Hard reset. (reset ya kutumia shortcut za button ya sauti na switch. ) - zingatia kukumbuka email iliyokua registered na hiyo simu vinginevyo itapona loop alaf itaingia kwenye FRP lock na itakusumbua.

Solution 2 - Iflash kwa kutumia clean firmware (hapa jamaa hapo juu kaelezea vizuri process)

Turudi hapo IKAWA HAIWAKI ila inadetect kwa PC .

Zipo simu zinasoma kwenye Pc hata battery ikiwa haina chaji au haipo kabisa.

Ushauri: jiridhishe betri inachaji. Kama una kobe weka.

Alaf fuata process uiflash.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penison

JF-Expert Member
Nov 4, 2017
4,139

Mkuu hivi ukichaji simu ya Samsung Kwa kutumia Fake Charger inaweza kusababisha Simu kuishiwa Chaji mara Kwa mara
 
Tatizo firmware yake mtandaoni haipo
 
Philipo D. Ruzige

Verified Member
Sep 25, 2015
6,426
2,000
Mkuu hivi ukichaji simu ya Samsung Kwa kutumia Fake Charger inaweza kusababisha Simu kuishiwa Chaji mara Kwa mara
Kuna uwezekano, kwakuwa battery ipo na rating ambazo zinatakiwa ziendane na chaja yake.

Kutumia tumia chaja za hovyo hovyo kuna zoofisha battery japo si jambo la mara moja tu, (huchukua muda.)

Hiyo battery yako ina muda gani ?

Kama kuna uwezekano badili battery na chaja kwa pamoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom