iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
nina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
Kwa ndumba ndo wenyewe!!!!!!!
ah wacha kutukandia bana
kwa hiyo wote wanatumia ndumba
nina mahusiano na mwanamke wa kinyamwezi
ninaomba mwenye uelewa anipe tabia zao wakoje kabla sijaingia kwenye kitanzi cha ndoa
wanasifika kwa kubeba mizigo mizito (mizigo gani sijui) hiyo sifa mi nimeisikia tuu, wanaadabu ya nje na ndani namaanisha ya kupiga goti asili na si ile ya nidhamu ya woga. Mengine wacha wengine waje watiririke.
Pia wataalam wa kuunga mboga kwa karanga so ukioa huyo jiandae kula mboga za karanga.
Kwa ndumba ndo wenyewe!!!!!!!
Kama mzigo kweli nimeubeba mkubwa na mrefu tu Mtoto wa Kinyamwezi mie. Au ulimaanisha mzigo gani vile?
kwa hiyo wote wanatumia ndumba
Hamna ndumba bana, weee vipi?
Hujasikia wimbo wa Kinyamwezi kwenye maharusi yetu maana huwa tunaimba ".....nalitumila ndumba ya kumlomo....."
Kaunga dada yangu atakuwa shahidi kuwa maana yake ni "....ninatumia ndumba ya mdomoni......"
Wanyamwezi tuna maneno matamu na nyororo................ "..... hihihiiiii, ndiyo Padili....."