Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Ongeza ela nikupeKama kichwa cha habari hapo juu kinachosema nahitaji projector ya bei isiyozidi 250k,.
Nipe specs ya bidhaa yako tufanye biashara.
Niongeze kiasi gani mkuu na nia aina gani specs pia hujasemaOngeza ela nikupe
Upo mkoa gani?Kama kichwa cha habari hapo juu kinachosema nahitaji projector ya bei isiyozidi 250k,.
Nipe specs ya bidhaa yako tufanye biashara.
Nipo DarUpo mkoa gani?
Ungekua Arusha, tungefanya biashara; huwa nataka mtu aone kifaa menyewe na a-test ndipo tuongee biashara. Kilalaheri lakini mkuu.Nipo Dar
Mkuu sawa ila nilitamani tufanye biashara!! Kama kipo vzr naweza kulipa nauli ya basi kukurudishaUngekua Arusha, tungefanya biashara; huwa nataka mtu aone kifaa menyewe na a-test ndipo tuongee biashara. Kilalaheri lakini mkuu.
Sijakuewa mkuu; unamaanisha unaweza kuja Arusha?Mkuu sawa ila nilitamani tufanye biashara!! Kama kipo vzr naweza kulipa nauli ya basi kukurudisha