Anaeuza kitanda na mattress ajitokeze

Anaeuza kitanda na mattress ajitokeze

kipo 250,000 kitanda cha mbao futi tano na godoro (used lakini kina hali nzuri sana kilikuwa kinatumiwa na binti).
 
Godoro jipya 5*6, inchi 8. lipo kwenye karatasi lake na halijatumika, kitanda 5*6 kimetumika japo sio sana. vyote leta 240,000
(godoro ilinunuliwa 145,000. kitanda 185,000 mbao)...leta mzigo wa pesa ujikomboe

NB: vyote vipo Morogoro, ukipenda kuja PM kwa maelezo
 
Mkuu godoro pekee utaniuzia shillingi ngapi nipo kihonda@IQup
 
njoo manyuki ulione, 120,000.... godoro tangu linunuliwe lipo kwenye karatasi yake halijatumika limehifadhiwa tu... njoo nikupe kwa bei hiyo
 
Weka picha huko manyuki kila mtu anaishi manyuki humu boss.
 
njoo manyuki ulione, 120,000.... godoro tangu linunuliwe lipo kwenye karatasi yake halijatumika limehifadhiwa tu... njoo nikupe kwa bei hiyo
Aina gani mkuu Comfy au Dodoma au Vita raha au...
 
Back
Top Bottom