Anaetafuta ma laboratory technician wa mashuleni, viwandani na kwingine kote ani pm

wynejosee

Senior Member
Jan 28, 2014
148
59
Wanajamvi, kwa mtu yeyote yule anayewaitaji ma laboratory technician waliopikika kweli kwenye viwanda, mashuleni anitafute, kuna vijana wapo vizuri mno, wanaitaji ajira.
 
Mbona unadhalilisha taaluma za watu,yaani mtu wa Laboratory wanaangaika ivyo kumbe
 
Back
Top Bottom