kituo cha daladala sijui jina lake, ila kama unatokea mwenge unakata kushoto kuelekea st marys international schools mbezi,then kuna majengo utayaona ya ghorofa hapo ndio kuna ofisi za NECTA mbezi juu
Panda Gari Zozote Zinazoelekea Tegeta Escrow au Kunduchi au Ununio Kisha Mwambie Kondakta Wako Akushushe Kituo Cha MAKONDE Na Ukishuka Tu Hapo Utakutana Na Madereva Wa Pikipiki au Bodaboda Na Waambie Wakupeleke Baraza La Mitihani Ni Tsh Elfu 2000 Tu Kwakuwa Kuna Mvua Na Watakufikisha Kwani Siyo Mbali Wala Kwa Kupotea! Otherwise Nakutakia Mafanikio Mema Na Huo Usaili Wako.