Nina miaka karibu Minne sijawahi kusikiliza Clouds FM...Lakini nikiwa ktk KLM on the way to USA September Mwaka jana nilikaa seat ya jirani na kijana mmoja ambae ni mwanamuziki wa kizazi kipya..aliilalamikia sana jiyo FM Station kwamba ni Tatizo kwa maendeleo yao ya kimuziki kwa sababu..inatumia divide and rule kwa wasanii ili hata wasanii wenyewe wasiwe na sauti moja..hlf imekuwa ikiwajaza sana maneno wanamuziki wapya dhidi ya wakongwe ili waonekane kwamba wakongwe wanawazibia ma underground wasitoke...Pia hali inaelezwa kuwa mbaya sana kama mwanamuziki ni wa kike..kwani ni mpaka ruge atembee nao ndio mwanamuziki wa kike anapata chance ya kupata airtime katika FM Station hiyo....Na alinieleza kwamba jamaa kafyagia wanamuziki mademu wengi sana mfano...Jide,Ray C, Maunda Zorro..Dattaz nk
Haya mambo umeeleza ni yanaweza kuwa ni kweli kabisa buta scope yake sio clouds tu. Imetokea kuwa cluouds ndiyo chombo kinachongara kw ahiyo lazima matatzio yeote ya wasanii na chnyenyewe kimulikwe.
Divide and rule sio kwenye muziki tu . Sehemu tunazofanya kazi managament zinatumia style hizo hizo. Serikali na yenyewe inatumia style hii na hata mashule na vyoni wanafunzi wanagawa kwa style hii hii. Kwenyehistory utaona hata wakoloni walitumia style hii but ni vipi wanachi walifanikiwa. Hope wasanii wengi japo wamefika form for na elimu yao ya hisory inaweza kuwapa mwanga nini kinatakiwa.
Kudhani matatizo ya wasanii yasingekuwepo kama neno clouds lisingekuwepo ni kujidanganya. Sehemu yatatio kubwa ni umbumbu wa wasanii wenyewe.
Its very easy to divide them than to unite them
NiI ujasiri na akili za wa wahusika(wasanii) tu ndio zinaweza kuwachomoa kwenye minyororo.
Kuhusu
wanawake ndio hapo haya mambo sio wasanii yapo sehemu nyingiushaihidi wake ni mgumu kama hakuna majasiri wa kujitokeza kusema wazi. Ndiyo kama ya kina liyumba. Sometime wanaume wakisema sana kuhusu jambo hili wanaonekana wanawanyanysa wanawake wengine wansema wanawaonea wivu. Sasa msanii x, au Y au zee kaamua kutoa urada wake ili a'ngare kakubali bilakunyonga na hata baada ya ku'ngara na kutoka hatoki na kusema waazi yaliyomkuta.Then inabaki kuwa ni story tu za udaku. again wahusika wenyewe ni sehemu ya kuleta mabadiliko .
Eleweni na
Ruge naye ni bindamu tena inawezakena rijali . huwezi jua ukweli katika hao mnaowataja inawezakana alishawishi nusu na nusu nyingie yawanawake wao ndio walimshawishi. Zipo evidence nyingi wasichana wao kutaka kutumia jinsia zao kupata upendeleo.
kwa hiyo sometime tuache ushabiki tufanye uchambuzi na kupima mambo bila upendeleo.
Nilichosmea wasanii wetu inabidi wajifunze kufanya mambo
kisomi. Wajifunze kuacha kuchukua kianzio kabla hajaona mkataba, wajifunze kuandika nakuwasilina na ofisi zinazhusika na mambo yao.