Unataka ya mkoa kwa mkoa au?Habari wana jf mimi nilikuwa nahusika na website huko ug sasa kwa hapa bongo kuna swala la zipcode ni gumu sana na hata sijui nijazeje maana ukiweka lazima waangalie sshemu uliko na ukidanganya huwa hawaangaiki na wewe. Tofauti na sehemu nyingine nilikuwa napiga nawaambia wana comfirm sasa bwana kwa bongo imekuwa ngumu sana kwangu.
Niko moshi kilimanjaro mwenye upeo na hii kitu anijuze.
Habari wana jf mimi nilikuwa nahusika na website huko ug sasa kwa hapa bongo kuna swala la zipcode ni gumu sana na hata sijui nijazeje maana ukiweka lazima waangalie sshemu uliko na ukidanganya huwa hawaangaiki na wewe. Tofauti na sehemu nyingine nilikuwa napiga nawaambia wana comfirm sasa bwana kwa bongo imekuwa ngumu sana kwangu.
Niko moshi kilimanjaro mwenye upeo na hii kitu anijuze.
Usiwe mbishi mi huwa natumia hzo mkuuKAFEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Habari wana JF,
Mimi nilikuwa nahusika na (website) huko UG, sasa kwa hapa Bongo kuna swala la (zipcode) ni gumu sana na hata sijui nijanzeje maana ukiweka lazima waangalie sshemu uliko na ukidanganya huwa hawaangaiki na wewe.
Tofauti na sehemu nyingine nilikuwa napiga nawaambia wana (comfirm) sasa bwana kwa Bongo imekuwa ngumu sana kwangu.
Niko Moshi Kilimanjaro mwenye upeo na hii kitu anijuze.