Yuzo mawe
JF-Expert Member
- May 31, 2019
- 494
- 551
Habari wakuu
Nlikua naomba kujua anything kuhusiana na kozi ya cadeth(officer) inayotolewa kule monduli yani interms of wapi nafasi au fomu zinapotolewa.inachukua muda gani wakati ukiwa kambini
Please kwa yoyote anaefahamu naomba anisaidie kama hatojali