hii ndiyo sababu inayotufanya waafrika tusiweze kufanya biashara ya online! post yako moja hiyo unafikiri unaweza pata wateja?.
jaribu kuingiza japo hizi details:
1.Wewe ni nani? uko wapi? una uzoefu gani? picha za magari baadhi? bei zako? ofa za ziada,ciontacts zako?,baddhi ya waliokwisha fanikiwa kununua kwako! nk.
wewe Udalali unautaka au ni muuzaji kwanini usifungue Website yako ambapo haifikii hata bei ya tairi moja na rim yake
umepewa ya toyota na mm nakupa Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Infohuko peleka mabwembwe yako ukautane na watu wanaoitwa wanaume
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.