Anaeijua vizuri iPhone 3 naomba anisaidie

Tujisahihishe Tz

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,061
Reaction score
1,367
Kuna mtu anataka kuniuzia hiyo simu,

Naomba kufahamishwa kuhusu kukaa na chaji?

maana kuna sehemu nimeona hili Iphone is good phone.But battery is too bad.It
can hold 3 hours.Touch is very quickly
responsible,but this phone has only 256 mb
RAM which is very small,and not good for
games and other apps.Camera is very
good,but dosent have the flash.

Nikaona tena hivi

CAMERA
Camera:
3 megapixels
Features:
Autofocus, Touch to focus, Geo tagging
Camcorder:
640x480 (VGA) (30 fps)
HARDWARE
Processor:
Single core, 600 MHz
Graphics processor:
PowerVR SGX 535 GPU
System memory:
256 MB RAM
Built-in storage:
32 GB
BATTERY
Talk time:
12.00 hours
the average is 13 h (760 min)
Stand-by time:
12.5 days (300 hours)
the average is 20 days (491 h)
Capacity:
1219 mAh
Not user replaceable:

ndi nikazudi kuduwaa ingawa simu nimeipenda,

Unanishauri nn?
 
mkuu ukiinunua sahau kupata apps maana apple walishaacha kutoa support kwa hii simu hivyo hutopata apps kama whatsapp, instagram na apps zote muhimu wala games utaiashia kupga na kupokea na kutuma sms.
 
Vp kama hizo app alikuwa nazo kabla hawa jamaa hawajaacha support yao zinaweza endelea kufanya kazi?
 
haziwezi kufanya kwasababu app uwa zinahitaji kuwa updated kqa hiyo kama simu haina support hawatoi update ya apps zake baada ya muda haziwezi kufanya kazi zinakuwepo kama mapambo
 
Mkuu ahsante sana, siwezi inunua tena ndo maana kumbe anaiuza bei nafuu
 
mkuu ukiinunua sahau kupata apps maana apple walishaacha kutoa support kwa hii simu hivyo hutopata apps kama whatsapp, instagram na apps zote muhimu wala games utaiashia kupga na kupokea na kutuma sms.

Acha kuropoka mkuu!! Mimi hapa nilipo natumia IPhone 3 na nipo Kwenye Instagram, whatsapp Kama kawa !! Si lazima uchangie hoja Kama u got nothin to say uuuuush
 
labda ngoja nikueleze kitu kuna iphone 3g na iphone 3gs, iphone 3g huwez hata acces istore maana hawaipi support toka mwaka jana iphone 3gs nadhani wewe ndiyo unayotumia still bado wanaisupport lakini sidhan kama nayo wataendelea isupport kwa muda mrefu zaidi.
Na ksa kuongezea zaidi iphone 3g update yake imeishia v 4.2 3gs ni beyond that
 
Acha kuropoka mkuu!! Mimi hapa nilipo natumia IPhone 3 na nipo Kwenye Instagram, whatsapp Kama kawa !! Si lazima uchangie hoja Kama u got nothin to say uuuuush
Nadhani wewe ndio uache kuropoka mkuu
iphone 3 uwe na hizo apps?.........sahau
Hata ukiweka Whitedoor hamnakitu kama hiyo
 
Ukienda gsmarena utakuta umewekewa ina mega pixels ngap, sijui uwa details wanapewa na manufacturers

Mkuu gsmarena ndo k2 gan nfahamishe pLz nna kaushamba kwenye hilo thou ni mdau mkubwa wa appLe

Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
 
Gsmarena mkuu

Sent from my iPhone 4 using JamiiForums

Gsmarena ni mtandao unaotoa specification za simu mbalimbali. Uwa wanakupa details za almost kila kitu kuhusu simu kuanzia dsplay, battery, processor, ram, camera, os n.k.
Au wewe ulikuwa wataka jua nini kuhusu gsmarena mkuu sina hakika kama nimejibu swali lako.
 
Umenijib mkuu 100% pia umenkumbusha coz nlishawah kuckia hyo k2 ila nlisahau asante sana..i understooD

Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
 
Nshazoona mkuu nashukuru tena

Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom