Anaeijua Kopa Mali foundation atujuze tafadhali

Anaeijua Kopa Mali foundation atujuze tafadhali

black nigga

Senior Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
157
Reaction score
86
Habari za asubuhi waungwana,

Hawa Kopa Mali foundation wanahusika na ukopeshaji wa vitu kama bajaji, pikipiki, gari Noah na pesa.

Mwenye kuwaelewa vizuri hawa jamaa tafadhali atujuze
 
Ukishapata habari zao,fanya uhakiki kwanza kuhakikisha hakuna HEWA.
 
Habari za asubuhi waungwana,

Hawa Kopa Mali foundation wanahusika na ukopeshaji wa vitu kama bajaji, pikipiki, gari Noah na pesa.

Mwenye kuwaelewa vizuri hawa jamaa tafadhali atujuze
jaribu kupita facebook..wapo kule na promo zao..ingawa sina uhakika na uhalali wa huduma zao...
 
Tigo:+255 672 075 285.

Voda:+255(0)769 121 337.

Airtel:+255(0)683 201 859.
 
Link ya facebook inoneysha kila mtu anasema ni wezi na wengine kusema wameibiwa.
Sasa hawa wakopeshaji hata website hawana.Aisee
Na wamemchomekea kwenye picha mzee Kimei wa CRDB,sijui inakaaje hapo

Huku Clouds Media wakiwapigia debe saaaana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom