Asee ninaitaji mawasiliano . kiwe self-contain ndani ya fence Nina tshs100,000/mwenye uhitajii ankcheki PM
Unauza room mpaka uku jf, kule usab wanagawa roommwenye uhitajii ankcheki PM
Mkuu umeingia chaka..Asee ninaitaji mawasiliano . kiwe self-contain ndani ya fence Nina tshs100,000/
Unauza room mpaka uku jf, kule usab wanagawa room
Afuu muache tabia za ajabu kama unaona huwez kaa bora umwachie mwenzio alipie sio kuuza tena kwa bei kubwa kama vile umejenga wew hizo hostel