Anaehitaj Chumba UDSM Mabibo Hostel kwa 140 000/=

Unauza room mpaka uku jf, kule usab wanagawa room

Afuu muache tabia za ajabu kama unaona huwez kaa bora umwachie mwenzio alipie sio kuuza tena kwa bei kubwa kama vile umejenga wew hizo hostel

Kuna jamaa wa UD alikuja analia huku hana pa kukaa?

Mbona room zinauzwa mpaka humu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom