bafetimbi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 1,085
- 1,766
Habari zenu wadau!!!....ukweli ni kwamba mwanaume ukimgharamia mwanamke hata kidogo tu, siku ya kumla utatembeza ukuni kwa kiwango cha kimataifa. Tuna tabia wanaume tunasema "hahaa alikula tuhela twangu kudadek siku alipoingia geto nillimtia mpaka alishangaa".
Hapo hujamkomoa.ndivyo mwanamke anapenda kufanywa hivyo na anaenjoy vibaya mno.... na atakuganda sana.
Hata mimi demu asiponiomba hela yani nitajitahidi hata nimrushie ka vocha ka 5000 tu.......ili akilini mwangu mafaili ya click kwamba kala vocha yangu ya 5000 huyu sasa ataona. Au nitampa hata kapesa kiasi (sitoi zaidi ya Tsh 30,000).
Ile pesa kidogo tu utakayompa mwanamke itapelekea apewe na apate mtanange mkaali ambao wanawake wasiokula hela za wanaume wanauota kwenye ndoto tu.na wanatamani sana waupate.
Ni wanandoa wengi sana wanakwambia kwa mke wangu sipigi shoo kali kama ninayopiga nikipata kimada huko nje japo wife ni mzuri sana....jibu ni kwamba we ingia garama kiasi tu. Hata kama mpo wawili nunua kilo nne za nyama mle zingine zichache zitupwe.ili hela ikuume kwamba nimenunua nyama yeye ana tupa? Kilo nne?Na mikalio yake hiyo leo atanikoma.
Mwanamke nisipompa kamshiko kidogo na akinipa mzigo huwa napiga show chini ya kiwango.
We kula kahela kangu uonee eee heee...
. Kwanza kama show ni jumamosi... naanza kufanya mazoezi ya kukumbia kuanzia jumaa tatu.tena nakimbia kwa spidi ya fast jet jumaatatu mpaka alhamis.
Ijumaa asubuhi naweka wimbo wa fally ipupa "IBAKADJA". halafu naanza kuucheza kwa staili ya kula mzigo yaani kama nat*mba hewa hivi... naucheza kwa staili hiyo huku nikipiga squart kutwa nzima.
Jumaamosi asubuhi nafanya warm up ya kunyoosha kiuno pembeni nikipiga playback ya wimbo wa koffi olomide "ABRA CADABRA... ABRA CADABRA.. AABRA CADABRA EEEE" na kuruka kichura huku kichwani nimebeba ndoo kubwa ya lita ishirini iliyojaa mchanga
Mchana natwanga karanga mbichi kilo tatu mpaka ziwe unga.kisha nasonga ugali wa dona mboga zangu ndo hizo karanga nilizo twanga. Saa kumi jioni nalala.naamka saa kumi na mbili jioni.
Sasa nampigia "halima vipi mpenzi uko njiani ee?..ndiyo honey lakini boda boda ananidai 70,000.nikifika si utampa baby?...najibu ndiyo.gharama nyingine hiyo.inanipa uchungu....napiga tena squart 100.namalizia unga wangu wa karanga mbichi uliobaki.nakunywa maji mengi huku nachati nae....sasa akifika saa moja moja jioni hapo natembeza ukunI mpaka asubuhi huku nikilia uchungu wa hela zangu
HAPO DEM KALA 10,000 TU....kudadek
ONYO:
Usithubutu kula pesa zangu nyingi kama wewe na bikra.