Anaefahamu lolote kuhusu IAA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anaefahamu lolote kuhusu IAA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by a.rams, Sep 24, 2012.

 1. a.rams

  a.rams Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nilikua naomba kama kuna mtu anafahamu au amepata Join instruction ya hiki chuo na cost zingine anisaidie. coz ukichek kwenye website yao hakuna vitu hivyo. asanteni
   
 2. k

  kakamukubwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Fungua website yao
   
 3. a.rams

  a.rams Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimefungua hakuna vitu hivo nlichokiona nicku ya kufungua chuo
   
 4. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Dogo umepata chuo cha ukweli, kasome, tanzania hakuna chuo chenye mazingira mazuri kama hicho! gharama zao kwa sasa sizijui ila kwenye web yao zpo
   
 5. k

  kazuramimba Senior Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kijana unaenda kusoma nini ili 2juane coz mi mwenyewe naenda huko.ADA ni mil 1,500,000.kuna gharama nyingine kama accepted form nayo ni shl 250000.ila kama una ndugu walioko arusha wa pm waende waka itake on alafu waku2mie.
   
 6. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna "watoto" wazuri sana...
   
 7. a.rams

  a.rams Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me nimepangiwa BPLM, kumbe wao huwa hawa weki kwenye website yao. ok asanteni
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Nafahamu kwamba ni Chuo cha Uhasibu cha Arusha.
   
 9. B

  Bona_Fide Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nafahamu kwamba kipo njiro esami
   
Loading...