anaefahamu deni la taifa limefika shiling ngapi jaman?

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
1,662
baada ya waziri wa fedha kuisoma budget 2011/12 ambapo vipaumbele kua umeme,kilimo,ajira,maji na miundombinu. . Lakini hii bajeti kw asilimia kubwa ni tegemezi kwa maana ya kutoka nje na kukopa benk za ndani na za nje. .nachotaka kujua haya madeni kikwete anataka amwachie nan aje kulipa?naomba mwenye data kamili za deni la taifa.
 
Last time i checked it was arround $10 billion ukichanganya ya ndani na nje. our annual revenue ni $6 bilioni. kwahiyo unaona tuna budget
deficit ya 40% na budget ya mwaka huu ndio funga kazi maana budget nzima ni 13 trillioni na mfukoni tuna 6 trilioni kwahiyo inabidi tukimbilie IMF na WB kuomba pesa za kuziba hilo gap na hii inatokea almost kila mwaka.
 
Back
Top Bottom