Karibu Asilia lodges my JackieHabari zenu naomba kujua kuhusu hii kampuni ya asilia kwa aliewahi kufanya kazi hapo anisaidie kufahamu kuhusu mikataba yao interview zao na mazingira yao ya kazi
Shukran
Karibu Asilia lodges my Jackie
Ngoja nikuitie HR atusaidie hapa chapVipi hapo interview zipoje
The word my Jackie. 😂😂Karibu Asilia lodges my Jackie
Hao asilia sijawajua kabisa.
😂😂dah! Namalizia hii pepsi hapa, narudi.Umpe mwenzio maswali japo mawili mnayoulizaga kwenye interview