shokolokobangushayo
Member
- Jul 26, 2016
- 13
- 4
Anaeweza kusaidia kuingia tanapa tuwasiliane 0625584783
Kwa faida ya wote naomba ufafanua vizuri kuingia TANAPA kivipi???Anaeweza kusaidia kuingia tanapa tuwasiliane 0625584783
Ngoja akutane na makanjanja wamle chakeNENDA KASOME CHUO CHA MALI ASILI PANSIASI MWANZA NO SHORTCUT INAKULA KWAKO
PASIANSI au MWEKA unapata ajira TANAPA bila shida.
Awe na jina la shemahonge, shelukindo, mdoe nk atapewa kipaumbelePASIANSI au MWEKA unapata ajira TANAPA bila shida.