Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,921
- 4,215
Ok mkuu tupitishie mbegu huku Kisasa karibu na Verde view hotelHusika na kichwa cha habari hapo juu
Nauza miche 2000 ya pili pili aina ya loleza kwa bei ya mche mmoja tzsh 100 , ipo tayari kwa kupandwa na ime hudumiwa kwa mfumo wa kisasa
Location Chamwino dodoma ( chamwino ya Ikulu)