Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Sio kwamba hajajua, ameamua tu kukaza fuvuHuyo ni malaya ila hujajua tu kwa sababu ya upendo wako kwake.
Anafosi mamboSio kwamba hajajua, ameamua tu kukaza fuvu
Anatoa taarifa huyo 😅😅😅Ukipata anajuaje una pesa? Utajiju...
Acha aendeleze KubamizwaAnafosi mambo
Na utakuta ni mke wa mtu huyo!Anapenda Sana Hela.Nikiwa nazo anajileta kwangu tukalale wote.
Nisipokuwa nazo Anadai Mimi sio type yake.
Nikiwa nazo Anadai anataka nimnunulie pochi nzuri, suruali nzuri , gauni nzuri, wigi nzuri, high heels nzuri, anataka vitu vizuri vizuri tu.
Nikifulia nashangaa ananikimbia haonekani.Ananifanya akili yangu iende mbio mbio race.
Wanawake sio vizuri unampenda mtu kisa ana Hela akikosa unamkimbia.
Tukiwa hatuna Hela mnadai sisi sio type yenu