Anadai ananipenda nimpe muda Aachane. Na wazamani ila hajamucha mpaka leo

princessita

Member
Aug 19, 2013
21
6
Takribani miezi sita sasa. Tangu nikutane na kijana. Ambae alidai yupo kwenye mahusiano asiyoyapenda na angependa kuwa na mimi ila nimpe muda wa kuachana na wazamani cha kushangaza mpaka leo hii bado hajamuacha. Nikimuuliza anasema nivumilie atamuacha muda is. Mrefu nimeanza kupata mashaka ananipenda kweli au anataka kunichezea naombeni ushauri mi namuona kama msanii anaetaka kunitumia maana sijui kinachomzuia kumuacha nn mpaka leo hii
 
Yaani bi dada wewe kwa raha zako umekaa unamsubiri mwanaume amuache mwanamke mwingine ili muwe wapenzi...

Mwanamke ni kiumbe cha thamani na hata asili imeweka bayana hilo...onesha kwamba wewe ni wa thamani na huyo mwanaume ndiye anayepaswa kuhangaika kwa ajili yako...

Kama ukijirahisisha tu kinamna hiyo, there's no way huyo mwanaume atakuona wa thamani...

Haya we endelea kusubiria MV Magogoni stendi ya Ubungo...
 
Sasa kama unamsubiri amuache mwenzio huon hako ndio katabia kake atajakuacha nawe pia ili aende kwa mwingine???
Jaribu kushirikisha ubongo shosti moydn mdanganyifu jaman:banghead:
 
Mpe mzigo akugegede kidogo utaona anakuja kwako fasta..na atapaki basi kabisaaa.
 
Umelamba sumu kwani we hujui uzuri wako unadepreciate so saizi hakuoni king'asti tena kama zaman, ila kakuweka kama spare tyre................................keep waiting atamuacha ha ha ha ha ha ha
 
Balaaa jamani sasa miezi yote hiyo anasubiri nini?khaaa au ndo tym will tell pole mwaego
 
acha ujinga ndugu!!
...hivi mwanaume anaanzaje kukwambia huo upumbavu!!?
...Achana nae,tena mpotezee,hapo amekutreat kiujanja ili ujue yupo mwnyw, cku huyo mtu wake anakukuta nae,utageukwa ww,utasikia'huyu ndo yule niliekwambia'..
...Achana nae huyo mwanaume,tena piga kimya kabisa, ikiwezekana mwambie umepata mpenzi!unless ataishia kukuvuavua tu pichu
...
 
Jamaniiiiiiiiiiii!!!!!!!!siyawezi hayo kabisaaaa,fanya yako jamaa ni mzushi huyo.
Huwez kumsubir mtu kana kwamba mpo kisiwani wa 3 tu,wakat wapo wengi tu wanaume.
 
Duuh.....Kwanini ukubali uwe plan B at first place....huyu mtu ni timewaster na anachukua advantage ya kupiga ndege wawili kwa jiwe moja.

Aisee kuna watu wana uvumilivu wao
 
Kwa ruhusa ya BAK, jifariji kwa wimbo huu.

 
Last edited by a moderator:
pole, yawezekana anampenda huyo mwenzio ila kuna vimigongano kidogo so huo mda unaompa ndio anajaribu kusawazisha huko ikishindikana atakuja kwa plan B mazima, as long as huna mahusiano naye hatarishi kwa sasa asiwe block kwenye plan zako za mapenzi , ukipata wa kumpenda penda akija itakua too late.
 
Ila kuna watu mnamioyo yenu I see yani unaambiwa subiri amuache mwenzio na wewe umo tu miezi na miezi inapita unasubiri? kweli akili ninywele kila mtu anazake.
 
Takribani miezi sita sasa. Tangu nikutane na kijana. Ambae alidai yupo kwenye mahusiano asiyoyapenda na angependa kuwa na mimi ila nimpe muda wa kuachana na wazamani cha kushangaza mpaka leo hii bado hajamuacha. Nikimuuliza anasema nivumilie atamuacha muda is. Mrefu nimeanza kupata mashaka ananipenda kweli au anataka kunichezea naombeni ushauri mi namuona kama msanii anaetaka kunitumia maana sijui kinachomzuia kumuacha nn mpaka leo hii
achana nae muongo wanapendana
 
mtu kama anakuhitaji kweli hachukui mda mrefu kiasi hicho anakupotezea mda wako. kwanini ashindwe kumuacha kama kweli hampendi huyo demu wake, kuwa makini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom