Anachungulia nini huyu dogo?

haka katoto nakajua hakapendi kuoga hapo kanachungulia ili mama yake azubae akimbilie ndani kujificha
 
Huyu katoroka jando huyo, sasa ancheck kama wazee bado au washa timua ili arudu home.
 
Dogo hapatani na maji anamkong'otea mazeri kama bado yupo,ili azame ndani akajing'arishe na wese.
 
Hata mimi kulikuwa na age flani kuoga ilikuwa zengwe, siku ni kiambiwa poa tu utaoga kesho kwangu ilikuwa fiesta.
 
Dogo yumtupu sijui anachungulia kitu gani!
 
Amenikumbusha mbali huyu dogo ile style unaenda bafuni unamwaga maji weee hauogi...!alafu una vunga umeoga..
 
Hapo akitokea mtu na fimbo akashusha kimoja, katalia mpaka giza linaingia
 
Nadhani anamchungulia huyu dada yake:-
 

Attachments

  • House girl.jpg
    19.9 KB · Views: 421
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…